Jumatano, 18 Machi 2020

KUTENGENEZA SUNITAIZER

UTATENGENEZAJE SANITAIZER UKIWA NYUMBANI ILI KUJIKINGA NA CORONA
Aina ya kwanza
Mahitaji
🔸Vineger chupa nzima
🔸vodkta,au highlife hizi ni pombe kali zina alcohol nyingi mno zipo kama 100 na point unaweka mls 100 na kuendelea
🔸glycerin hii tunayochanga na mafuta ya kupaka
🔸Maji safi na salama lita moja
Matayarisho
Changanya mahitaji yote kwenye chombo kimoja utikise kisha acha dk 5 na baada ya hapo sanitaizer yako tayari.
2: Aina ya pili
MAHITAJI
🔸bleach(jik) mls 100
🔸glycerin
🔸maji lita moja 
3: Aina ya tatu
MAHITAJI
🔸Spirit Mls 100 hizi zinazotumika hospital
🔸glycerin
🔸Maji lita moja
4: Aina ya nne

MAHITAJI

🔸Dettol ya maji mls 100
🔸Sabuni ya kuoshea mikono ya maji mils 100
🔸Maji lita moja.

ZINGATIA

🔹 Kwanini utumie pombe kali(Spirit) vodka,highlife,konyagi ni kwakuwa zina amount kubwa za alcohol na bacteria au kirusi hakiwezi kuishi kwenye aclohol nyingi na hizo ni pombe zenye kiasi cha alcohol zaidi ya 10*
🔹 Kwanini vineger ni kwakuwa ina acid nyingi na bacteri au virusi haviwezi kuishi hapo
🔹 Kwanini Bleach au Jik kwa sababu ina sodium hypochlorite ambayo huua vijidudu*
🔹 Kwanini gylcerin kwa sababu ina fanya ngozi kuwa smooth maana michanganyiko yote hiyo bila kitu kilainishi mikono itakauka na kukamaa maana michangayiko yenye asili ya acid na alcohol ukausha ngozi
🔹 Dettol inatumika kwa kuwa ingredients zake nyingi zina ua bacteria na vijidudu na hii ndio kazi ya dettol hasa
🔹 Spirit ni kwakuwa ina kiwango kikubwa cha alcohol hata ukiivuta tu una lewa ndio sababu hospital hutumia hii na kuiweka jivii iwe ya blue tusiinywe maana ikiwa plain ni pure wote aisee ni kali hakuna kidudu kinachoweza kuishi mbele ya siprit
🔹 Maji Ndio kitu pekee kinachoweza kuzichujua hizo chemical ili kuondoa athari kwa binadamu kwenye ngozi kama vile muawasho,mzio,ukavu n.k
MATUMIZI

Unaweza kutumia wakati wote muda wa kuexpire yaan mwisho wa matumizi ni wiki mbili na usiiwache wazi
By ```joseph peter maganga```abiola solidarity group

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUTENGENEZA SUNITAIZER

UTATENGENEZAJE SANITAIZER UKIWA NYUMBANI ILI KUJIKINGA NA CORONA Aina ya kwanza Mahitaji 🔸Vineger chupa nzima 🔸vodkta,au highlife hiz...