Jumanne, 16 Julai 2019

.MAFUNZO YA UJASIRIAMALI.

FOMU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI

ABIOLA SOLIDARITY GROUP
  SLP TEMEKE YOMBO ABIOLA 
   TEL 0759 408 410
           0718 916 282
           0743 788 246
FOMU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI 
                SEHEMU YA KWANZA 
                  MAELEZO BINAFSI

JINA ...............
BARUA PEPE.......
BARABARA..........MTAA
WILAYA .........MKOA 

SEHEMU YA PILI

AINA YA MAFUNZO YANAYOFUNDISHWA

A: SABUNI ZA VIPANDE
i Sabuni ya kipande ya kufulia Tsh 60,000
ii Sabuni ya kipande ya kuongea Tsh60,000
iii Sabuni ya kiapnde tiba tsh60,000
sabuni za unga za kufulia Tsh1,000,000

SEHEMU YA PILI
B: SABUNI ZA MAJI
i Sabuni ya maji ya kufulia Tsh40,000
ii Sabuni ya kunawia mikono Tsh40,000
iii Sabuni ya kuoshea nywele(shampoo)Tsh40,000
iv Sabuni ya safishia marumaru(masink)Tsh40,000
v Sabuni ya kuuwa waduduTsh50,000

SEHEMU YA TATU 
C:
USINDIKAJI 
i Kusindika mboga Tsh50,000
ii Kusindika achali ya Embe Tsh 40,000
iii Kusindika siangi ya karanga Tsh40,000
iv Kusindika matunda Tsh60,000
v Kusindka Tomato souse,Mango na piko Tsh100,000 
vi Kusindika chilly souse Tsh100,000
vii Ubuyu wa zanzibar Tsh50,000
vii Ubuyu mtamu wa kashata na pilipili Tsh50,000

SESHEMU YA NNE D.
i Kutengeneza biscuit za chocolate Tsh50,000
ii Kutengeneza pipi toffi Tsh50,000
iii Kutengeneza pipi kijiti Tsh50,000
iv Kutengeneza pipi kifua Tsh50,000
v Kutengeneza cake Tsh100,000

SEHEMU YA TANO E.

MASOMO YA KONI NA ICE CREAM
i Ice cream ya chocolate 
ii Ice cream ya Embe 
iii Ice cream ya maziwa 
iv Ice cream ya ukwaju 
{TSH50,000}

SEHEMU YA SITA F.
MIKOBA 
i Pochi kubwa 
ii wallet               {TSH70,000}

SEHEMU YA SABA G 
BATIKI AINA ZOTE

i Batiki za maua Tsh150,000
ii Batiki za kuprint Tsh 100,000

SEHEMU YA NANE H.
MAFUNZO YA LOTION

i Lotion ya kawaida Tsh50,000
ii  Lotion ya tiba Tsh 50,000
iio Lotion ya kuwa mweupe Tsh50,000

SEHEMU YA TISA I.
MAFUNZO YA NGOZI

i Viatu vya ngozi kiume na kike Tsh 250,000
ii Viatu vya kimasai Tsh250,000

SEHEMU YA 10

KUPAMBA KUMBI ZA SHEREHE 
MAPAMBO AINA 10 TSH 250,000

KARIBU SANA SOLIDARITY

SOLIDARITY NI KIWANDA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUTENGENEZA SUNITAIZER

UTATENGENEZAJE SANITAIZER UKIWA NYUMBANI ILI KUJIKINGA NA CORONA Aina ya kwanza Mahitaji 🔸Vineger chupa nzima 🔸vodkta,au highlife hiz...