Jumatatu, 24 Septemba 2018

KANUNI NA TARATIBU ZA KUJIUNGA NA SOLIDARITY

KARIBU KWENYE UWEKEZAJI  JIUNGE NA
@ABIOLA_SOLIDARITY_GROUP

UTARATIBU WA KUJIUNGA
Unatakiwa kutoa kiasi cha Tsh laki moja na nusu tsh200,000/=

Kwa mchanganuo kama ifuatavyo tsh 40,000 ni pesa ya dharula endapo mwanachama atapatwa na matatizo yasiyo zuilika kikundi kitatoa pesa hii ya dharula kuna kiwango kimepangwa kwa manachama kama  unaungauliwa nk,

Tsh30,000/= @ABIOLA_SOLIDARITY_GROUP INA OFFICE YAKE
Kila mwanachana mpya ambaye anahitaji kujiunga na Abiola solidariy group inakupasa ulipie kiasi cha Tsh20,000 kwa maana hii kwamba utakuwa umelipia gaharama za uendeshaji wa office yako ya abiola solidarity group,

KIASI CHA TSH 200,000/= LAKI MBILI
Hii pesa ndiyo kiingilio mahususi unatakiwa kulipa kuwa mwanachama mpya ambayo itakufanya kuwa mwanachama mpya na hai ukisha kujiunga utakuwa kama mwanchama mwanzilishi wa kikundi siku ikifika ya kupata gawio la kikundi na wewe mwanachama ulie ingia leo upata gawio hilo kama mwanachama wa zamani au mwanzilishi,

UNUNUAJI WA HISA
Mwanachama ukishajiunga unatakuwa kuwa unanunua hisa kwa sababu tayari umesha kuwa mmiliki wa hiki kikundi kikundi hakiwezi kusonga mbele bila kuwa na fedha pia wanachana wanatakiwa kuzalisha pesa zako zile wanaziweka kwenye kikundi hicho hivyo basi unapaswa kununua hisa kila siku hisa moja unauzwa kwa Tsh2000 kila mwanachama anatakiwa kununua hisa 3 kila wiki moja,

FAIDA YA KUNUNUA HISA
Kila mwanacha anawekeza pesa yake ifanye kazi kwahiyo unaponunua hisa utapata faida ya kupata kiasi kingine cha fedha yako ulio nunua hisa maana ya kuwa kila hisa moja unapata asilimia 2.5% ya hisa yako,

Mfano umenunua hisa za sh 5000 baadae ya mda kufika wa kuchukua hisa zako unapata Tsh 5500 hadi 6000,

#Utapata kujifunza mafunzo yote ya ujasiriamali bure Masomo ambayo utajifunza bure ni

1 Kutengeneza Sabuni za maji soap liquid

2 Kutengeneza Batiki aina zote

3 kutengeneza juice za matunda

4 Kutengeneza cake na pipi toff

Kama hujaelewa vizuri basi usisite kutupigia au kuwasiliana nasi abiolasolidaritygroup@gmail.com
simu no:_ 0743 788 246
                   0759 408 410
                  
Malipo yote yanalipwa kwa njia ya Bank Account no 24210007526 NMB jina ni ABIOLA SOLIDARITY GROUP

Karibu sana Abiola solidarity group.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KUTENGENEZA SUNITAIZER

UTATENGENEZAJE SANITAIZER UKIWA NYUMBANI ILI KUJIKINGA NA CORONA Aina ya kwanza Mahitaji 🔸Vineger chupa nzima 🔸vodkta,au highlife hiz...