Karibu solidarity hiki kikundi cha wajasiriamali kina jishughulisha na utangenezaji wa sabuni aina zote,
Kila mtanzani anahaki ya kujiunga na kikundi hiki masharti ya kujiunga na kikundi hiki ni kuanzia umri wa miaka 18 nk,
Malengo ya kikundi hiki ni kuwa na kiwanda cha kikundi hapo baadae je kikundi kinapata je pesa ya kujenga kiwanda?
Nikwamba kikundi mbali na utengenezaji wa sabuni pia tunatengeneza batiki,ufundishaji wa ujasiriamali na ununuaji wa hisa na kuuza hisa kwa kila mwanacha wa kikundi hiki pia kutoka mtu wa nje,
Tunatoa mkiopo ili kuweza kupata pesa kukuza mtaji wa kuweza kununua mashine za utengenezaji wa sabuni nk mkopo unatolewa kwa mwanachama hai na mtu wa nje asie mwanachana
mbali zaidi tunafundisha mtu mmoja mmoja na vijundi mbali mbali tunatoa elimu ya ujasiriamali kwa wanakina mama na vijana wote pamoja wakina Baba pia kama unapenda kujiunga na kikundi hiki sasa usisite kujiunga karibu sana tupigie na tuandikie 0743788146 au kwenye email yetu abiolasolidaritygroup@gmail.com njoo tulijenge taifa letu pamoja na maisha yetu.
Ijumaa, 13 Julai 2018
Karibu solidarity
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KUTENGENEZA SUNITAIZER
UTATENGENEZAJE SANITAIZER UKIWA NYUMBANI ILI KUJIKINGA NA CORONA Aina ya kwanza Mahitaji 🔸Vineger chupa nzima 🔸vodkta,au highlife hiz...
-
SABUNI YA MAGADI malighafi zake -magadi soda -mafuta mawese,mbosa -maji -rangi -sodium silicate -caustic soda JINSI YA K...
-
FOMU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI ABIOLA SOLIDARITY GROUP SLP TEMEKE YOMBO ABIOLA TEL 0759 408 410 0718 916 282 ...
-
Mishumaa ni bidhaa mojawapo ambayo ni bidhaa nzuri Na itumikayo kila Siku katika maisha yetu ya kila Siku kwa maana zina matumizi ya kutulet...
Je! Unahitaji mkopo unaofaa kwa kuridhika kwako? Tunatoa mkopo wa kiwango cha riba cha 3% kwa wakopaji wa ndani na wa kimataifa. Tumehakikishiwa, tunaaminika, tunaaminika, ufanisi, haraka na nguvu na tunashirikiana. tunatoa mkopo wa muda mrefu kwa kiwango cha juu cha miaka 2 hadi 50.
JibuFutaJe! Unahitaji mkopo wa moja kwa moja, rahisi na wa bei rahisi kulipa deni yako, kuanzisha biashara au kwa sababu nyingine? Ikiwa ndivyo, tafadhali wasiliana nasi kwa mkopo.
Ofa hii ni ya watu wazito.
Ikiwa una nia, tafadhali wasiliana nasi kupitia: Barua pepe: bryanstefanloanfirm@gmail.com
WhatsApp: +919654763221
Tumethibitishwa,
kuaminika, ufanisi, haraka na nguvu.
Kwa dhati,
Bryan Stefan
bryanstefanloanfirm@gmail.com