Mishumaa ni bidhaa mojawapo ambayo ni bidhaa nzuri Na itumikayo kila Siku katika maisha yetu ya kila Siku kwa maana zina matumizi ya kutuletea mwanga pia hutumika kanisani Na sehemu zingine mbalimbali .
Utengenezaji WA mishumaa .
Malighafi au nahitaji muhimu
1;paraffin wax
2:utambi
3:hardener
4:mould au umbo
5:stearine
6:boric acid
7:sufuria
8;chanzo cha moto
9:rangi
10:citronella
11:perfume
Miongoni mwa malighafi hizo si zote utatumia Bali kuna malighafi hizi Kama rangi .citronella Na perfume hizi malighafi si lazma kutumika ila ni nzuri kwa ajili ya kuboresha bidhaa yako.
Matumiz ya malighafi hizi
1:citronella Hii ni malighafi ambayo husaidia kuua wadudu sehemu ulipo hii hasa hutumia kwa ajili ya Kutengenezea mishumaa ya kuua mbu
2:rangi
Hii ni kwa ajili ya kuboresha muonekano Wa bidhaa yako .
Pia rangi zitumikazo ni rangi za vyakulaa
3:perfume
Hii pia ni malighafi ambayo huleta harufu katika bidhaa yako
4:hardener
Hii hufanya kazi ya kuganfisha mishumaa
5;boric acid
Hii ni dawa kwa ajili ya kulowekea utambii
Pia inasaidia mishumaa usitoe moshi kwa maana unafanya carbon iishie kwenye utambi
6:stearine
Hii kufanya mshumaa uwake muda mrefu
7:bee wax
Hilo nu hitaji muhimu katika utengenezaji Wa bidhaa hii ambapo hili kutokana Na masega ya nyuki pia huchanganywa Na mafuta ya petrol au diesel pia rangi Yake ni njano
8:paraffin wax
Hii ni hitaji kubwa Sana katika utengenezaji WA mishumaa hii ni zako LA nyuki linaloyokana Na Nta Pamoja Na masega ya nyuki ambapo huchanganywa Na mafuta ya taa.
Rangi yake ni nyeupe
Pia paraffin wax ni nzuri zaid Kutengeneza mishumaa kuliko bee wax
9: mould
Haya ni maumbo mbalimbali ya mishumaa ambayo Kutengenezea pia unachagua umbo Gan utumie yako ya round Na ya pembe Na design mbalimbali ya mould
Uwiano Wa malighafi
1: stearine vijiko 3vya chakula
2:paraffin wax au bee wax kilo Moja
3:hardener vijiko viwili Vya chakula
4:boric acid weka kulingana Na wingi Wa tambi zako
5:rangi citronella Na perfume weka kidogo kidogo
Weka kwa ueiano huo kadri unavyoongeza am a kupunguza kiasi
Zingatia kuwa kuvaa gloves ni muhimu kila unapozalisha mishumaa yako.
Powered by @abiola_solidarity_group
Maoni haya yameondolewa na mwandishi.
JibuFutaHi,
JibuFutaNaweza kupata wapi mould kwa ajili ya mishumaa?
Kilo Moja ya nta ni mishumaaingapi
JibuFuta