Jumapili, 14 Julai 2019

HATUA ZA KUTENGENEZA SABUNI YA MAGADI

SABUNI YA MAGADI
malighafi zake
-magadi soda
-mafuta mawese,mbosa
-maji
-rangi
-sodium silicate
-caustic soda

JINSI YA KUTENGENEZA

HATUA 1
-loweka caustic soda kwenye maji lita 5,koroga kwa dakika 15 na acha muda wa siku 7
-siku ƴ ya saba fuata mpangilio huu.chukua caustic soda changanya na magadi  soda 1/2kg loweka na maji lita 1 , koroga kwa dakk 5 halafu changanya na mafuta lita 10,Glycerin 1/2glass,sodium silicate 1/2kg.

Mkorogo wako ukiwa tayar ugawanye mara mbil(1.weka rang,  2.usiweke rangi)
-unavyopeleka  kwenye mudi ,uweke kudogokidogo ukianza na ule usio na rangi halafu wenye rangi hadi utakapomaliza ili mabaki yaweze kuonekana
NB:  1.caustic lita 1-mafuta lita 2  2.caustic lita 1/2-mafuta lita1

Maoni 11 :

  1. Nipigie hapa tafadhal 0743891443

    JibuFuta
  2. Je ni lazina ukishachanganya caustic soda na maji uiache hadi imalize siku 7 na siyo chini ya hapo?

    JibuFuta
  3. Je lazima uache kwa siku saba na kwa nini

    JibuFuta
  4. Vp unaweza kuweka rangi yoyote mfano Blue? Kijani? Au njano kweny sabuni?

    JibuFuta
  5. Nataka nijuwe kuhusu box la kufyatuluia ni kipimo gani?

    JibuFuta
  6. Caustic soda ni nn hiyo naomba kufahamu

    JibuFuta
  7. Naomba mnifundishe na je hivyo vitu vinavyotumika unavipata wap

    JibuFuta
  8. Ratio hamjibu maswali ya watu

    JibuFuta
  9. Tatizo hamjibu maswali ya watu

    JibuFuta

KUTENGENEZA SUNITAIZER

UTATENGENEZAJE SANITAIZER UKIWA NYUMBANI ILI KUJIKINGA NA CORONA Aina ya kwanza Mahitaji 🔸Vineger chupa nzima 🔸vodkta,au highlife hiz...