SABUNI YA MAGADI
malighafi zake
-magadi soda
-mafuta mawese,mbosa
-maji
-rangi
-sodium silicate
-caustic soda
JINSI YA KUTENGENEZA
HATUA 1
-loweka caustic soda kwenye maji lita 5,koroga kwa dakika 15 na acha muda wa siku 7
-siku ƴ ya saba fuata mpangilio huu.chukua caustic soda changanya na magadi soda 1/2kg loweka na maji lita 1 , koroga kwa dakk 5 halafu changanya na mafuta lita 10,Glycerin 1/2glass,sodium silicate 1/2kg.
Mkorogo wako ukiwa tayar ugawanye mara mbil(1.weka rang, 2.usiweke rangi)
-unavyopeleka kwenye mudi ,uweke kudogokidogo ukianza na ule usio na rangi halafu wenye rangi hadi utakapomaliza ili mabaki yaweze kuonekana
Nipigie hapa tafadhal 0743891443
JibuFutaJe ni lazina ukishachanganya caustic soda na maji uiache hadi imalize siku 7 na siyo chini ya hapo?
JibuFutaNaomba kunifundisha
JibuFutaJe lazima uache kwa siku saba na kwa nini
JibuFutaVp unaweza kuweka rangi yoyote mfano Blue? Kijani? Au njano kweny sabuni?
JibuFutaNataka nijuwe kuhusu box la kufyatuluia ni kipimo gani?
JibuFutaCaustic soda ni nn hiyo naomba kufahamu
JibuFutaNaomba mnifundishe na je hivyo vitu vinavyotumika unavipata wap
JibuFutaNamba 0755546524
JibuFutaRatio hamjibu maswali ya watu
JibuFutaTatizo hamjibu maswali ya watu
JibuFuta